Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ni siasa zote, bad news watu wa aina hii wanadhani wasomi ni wao tu nchi nzimaMarekani yenyewe haijafikia 0, Kitila ni Professor naye eti, nchi yetu inawasomi wajinga sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni siasa zote, bad news watu wa aina hii wanadhani wasomi ni wao tu nchi nzimaMarekani yenyewe haijafikia 0, Kitila ni Professor naye eti, nchi yetu inawasomi wajinga sn
Singida imejaa watu wajinga sn ukimtoa Lissu ndiyo maana bado kuna nyumba za tembe hata Rais alishangaa umasikini wa Singida na wakati tangu uhuru ipo chini ya CCMNi siasa zote, bad news watu wa aina hii wanadhani wasomi ni wao tu nchi nzima
Huyo hajasoma uchumi bali ni mtu wa development studies (D's)Ameongea kama mchumi au Mwalimu? 🐼
Syo kwa ccm hii au ANCAmeongea kama mchumi au Mwalimu? [emoji209]
Unaweza kuwa profesa ila ukakosa akili, huyu ni mmojawapo sawa na kabudiHapo aliposema, "0 poverty" amekosea ama ndio amemaanisha?!
Ikiwa toka enzi na enzi walishauri hivyo na wasifanye , Leo itakuwaje tuwaamini.Wakati akiongelea hali ya uchumi na mpango wa maendeleo bungeni leo Juni 13, waziri Kitila Mkumbo amesema wataendelea kuzingatia nafasi ya madini kukuza ujazo wa mauzo nje ya nchi na kuzingatia umuhimu wa madini ya kimkakati kutimiza azma ya dunia kuzalisha nishati safi na salama kwa mazingira.
Serikali imesema itaweka mazingira mahsusi kuvutia wawekezaji watakaokuwa tayari kujenga viwanda vitakavyoongeza thamani ya madini hayo nchini.
'Tunataka kuona tunasafirisha nje ya nchi betri za magari na sio madini yetu ya kimkakati. Tumesema wazi, wakati dunia inaelekea mwaka 2050 ikizungumzia kwa na 0 emission, tunataka kuona rasimali hizi zinatusaidia na sisi ifikapo mwaka 2050 tunakuwa 0 poverty' Alisema Kitila.