Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Kwanini wengine waondoke bila kuzungumza gentleman..?😂😂😂so what my lady?
au ndio ile ufahari msibani,
wakati mzee pengo anaugua mlikua kimya akihangaika mwenyewe right?
Kwanini wengine waondoke bila kuzungumza gentleman..?😂😂😂so what my lady?
au ndio ile ufahari msibani,
wakati mzee pengo anaugua mlikua kimya akihangaika mwenyewe right?
Sasa CHADEMA wamepata na nguvu ya wananchi, huoni athari yake bado?Tukichukulia mfano wa chadema kama chama, nadhani toka 2010 kila baada uchaguzi wanasema hawatambui rais, unaona imeleta impact gsni toka 2010 mpaka sasa.
Kabla ya hiyo chuki kuenea kwa viongozi washafanya nini la maana hao voongozi?
Mkuu walio mshangikia majaliwa, pinda we unawaona wapo serious?Sasa CHADEMA wamepata na nguvu ya wananchi, huoni athari yake bado?
utaratibu wa kanisa katoliki kwenye ibada za misa takatifu, uko wazi kwa kila mTanzania kwamba hakuna nafasi kwa wanasiasa kuzungumza.Kwanini wengine waondoke bila kuzungumza gentleman..?😂😂😂
mimi huwa nafanya tu, na kamwe sijifanyi my lady.Unajifanya huelewi kinachoendelea eeeeh! Endeleeni kushupaza shingo![]()