Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Aiseee xav bero...kwa hiyo renix hapo kwenye picha lazima mtu akae aiseeKama yupo dar mwambie karib mandao aone makange ya mdudu,kama ataacha kuja kuleta mrejisho hapaView attachment 744184View attachment 744185
Mimi mara ya kwanza nilipo kula nilitapika lakini sasa hivi mpaka nimekuwa Katibu wa wanaokula hiyo mbogaIlipikwa vzr sana shem ni mm tu ilinishinda
Washamba ni wale wasiokula hiyo nyamaNyama ya kishamba mnoo hii
Kwny kitimoto hakuna kisicholiwa hizo kwato ni tamu kuliko makongoro ya ng'ombeKuna mboga za kuchezea sio kitimoto ni noma kwa ndizi ile mkuu wewe walikuchemshia kwato itakuwa
Sasa huyu kiongozi walimpa nini mpka aone hii kitu sio ila sishangai ndio madhara ya kula ukubwaniKwny kitimoto hakuna kisicholiwa hizo kwato ni tamu kuliko makongoro ya ng'ombe
Utumbo wake unapikwa mchemsho unasukumia na chapati ebwana ndio
Labda manyoya yake tu ndo hayana matumizi
Wewe upo vzr mimi hapa mvua nimeshindwa kutoka nimefurukuta viwili najionea huruma kuendelea maana naona najikomoaNa mvua hii umejifungia ndani na bia zakoView attachment 744417
Sasa huu ni utani wa ngumi[emoji23]Mzigua wewe si watanga??? Sasa ukila kitimoto majini yako huwa unamwachia nani akushikie kwa muda???
Hahaahhaahaha. Mi mkristo kitimoto kama dawaMzigua wewe si watanga??? Sasa ukila kitimoto majini yako huwa unamwachia nani akushikie kwa muda???
Yaani udenda unanitoka. Usiwe unaleta maada za kipuuzi hapa. Ushaniharibia bajeti. Maana ulipomaliza kuweka nukta nimeinuka kwenda kuifata. usilinganishe kitimoto na uchafu wowote tafadhali
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Baada ya kula nyama ya panzi huko unakuja kuifananisha na kitimoto.