Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

Mkuu leo umetuharibia ratiba zetu za kula maharagwe.....sasa kila mtu naona anaenda kupiga kitimo
 
Nikiwa katibu wa wala kitimoto Tanzania (WAKITA) naomba nikukaribishe rasmi kuwa mwana chama hai wa wanaokula hiyo mboga. Trust me huto juta na siku moja utakuja kuomba mods waufute huu uzi
[HASHTAG]#Ova[/HASHTAG]
 
Kuna mboga za kuchezea sio kitimoto ni noma kwa ndizi ile mkuu wewe walikuchemshia kwato itakuwa
Kwny kitimoto hakuna kisicholiwa hizo kwato ni tamu kuliko makongoro ya ng'ombe

Utumbo wake unapikwa mchemsho unasukumia na chapati ebwana ndio

Labda manyoya yake tu ndo hayana matumizi
 
Kwny kitimoto hakuna kisicholiwa hizo kwato ni tamu kuliko makongoro ya ng'ombe

Utumbo wake unapikwa mchemsho unasukumia na chapati ebwana ndio

Labda manyoya yake tu ndo hayana matumizi
Sasa huyu kiongozi walimpa nini mpka aone hii kitu sio ila sishangai ndio madhara ya kula ukubwani
 
Na mvua hii umejifungia ndani na bia zako
IMG_20180408_205820.jpg
 
Yaani udenda unanitoka. Usiwe unaleta maada za kipuuzi hapa. Ushaniharibia bajeti. Maana ulipomaliza kuweka nukta nimeinuka kwenda kuifata. usilinganishe kitimoto na uchafu wowote tafadhali

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasoma comments tu mdomo umejaa mate,
Sipat pcha pale kilo yangu inapokua tayar kuliwa
Lait asingepewa kesi ya uharam kuna balaa moja uyu mdudu angelileta
 
Chochote chenye nguvu ya shetani hupendwa kupita kiasi hata kikiwa kibaya!
Mm nilisikia kitimoto ni tam balaa nikasema nionje kumbe hamna kitu
Nikasikia Tigo ni tam balaa kumbe nayo uchafu tu hamna kitu
Nikasikia bangi steam yake ni hatari balaa kumbe hamna kitu
Pombe kidogo ingeniteka ila nilivyoamua kuitafakari raha yake nayo nikaona hamna kitu.
So vitu vyenye kuktatazwa vinakuwa na upepo wa shetani/pepo so havina tofauti na halali !

Jiulize tu kabla hujaoa yani at the age of 18 K ilivyokuwa tam mbona baada ya kuoa au kuishi nayo kihalali imekuwa ya kawaida sana ni kwakuwa kitu kikishakuwa cha halali shetani hutaka msikifanye mfanye vya haramu.
 
Back
Top Bottom