Kitimoto is overrated haina utofauti wala utamu kuliko nyama zingine..

....kulkua na supu...????
Supu ya nguruwe? Huyo mpshi mlmtoa wapi?
 
We kitimoto huijui, mmeuziwa mifuta mingi la hasha hujui kuipika. Ile inapikwa na mafuta yake babu kisha inarostiwa kiufundi unaweza shangaa watu kadhaa mkafuta kilo ya ugali
Yaan anakosa uhondo sana
 
Yaani wewe unaogopaga Bei tu maana ulipoona ya bei nafuu ndio ukala hiyo iliyoshindwa kuzaa Mqngi akaamua kuuza ndio useme Kitimoto si Tamu wacha kabisa
 
Mkatoriki??? We ni ustazi kafundishe madrasa
 
Ina maana ya kwamba hujui vitu haramu ndiyo vitamu siku zote.
 
Kwahiyo uliyadharau hayo maandiko ya kwenye biblia yaliyokukataza kumla huyu mdudu?!

Ina maana ungependezewa na ladha ya nyama yake ungeendelea kumla na kuyapa kisogo hayo maandiko ya biblia yaliyokukataza kumla?
 
mud
muda si mrefu nimeipiga na pilau mchuzi uliochemshiwa ndo umetiwa kwenye pilau halafu ikakaushwa kwa kujikaanga na mafuta yake ikasindikizwa na kachumbali na pilipli na njegere hapa nahema kama tembo mzee
 
Wewe kuna jambo dogo linakusumbua,utamu wa kitu chochote kile unaanzia kwenye mind setup,sasa kama kisaikolojia ulikuwa umeshaathirika kuwa kitimoto ni nyama ovyo unategemea utakutana na utamu siku ukiila?!
 
we jamaa kweli mshamba mamaeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…