Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Nenda hapo ulipopiga hiyo picha. Agiza kilo moja, mwambie akutengenezee roast kavu na ndizi 2.

Kakaa sehemu ina kivuli, agiza bia mbili za Serengeti Lite wakati unasubiria kitimoto kiwe tayari, akishaleta kula hiyo kitimoto kisha agiza tena bia moja ya kushushia.

Utakuja kunishukuru
Hahaha
 
kitimoto haraaam haifai mungu kakataza lakini ubishi wabinadamu wanampinga Hadi mungu utaskia jitu linasema kitimoto tamu kuliko nyama yoyote ilimladitu ambishie mungu uzuli inajulikana ukila kitimoto ukifa nimotoni Haina kuuliza kwahio endeleeni
Umezaliwa kitimoto umeikuta na utakufa kitimoto utaiacha maana hukuiumba ww na ivyo ww ndo haraam kuita kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu haraam!
IMG-20220620-WA0003.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezaliwa kitimoto umeikuta na utakufa kitimoto utaiacha maana hukuiumba ww na ivyo ww ndo haraam kuita kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu haraam! View attachment 2403166

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..umeamua kumdodishia shehe ubwabwa mfia dini..yuko radhi kulamba k na tigo ila kula kitimoto anasema haramu..so pathetic.

#MaendeleoHayanaChama
 
Weka hiyo Aya inayo kataza kula nguruwe watu waione.
Mmekatazwa kula mkiwa mmeshiba tu basi. Au niiweke ?


Surah Al-Baqarat: Ayah 173

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ كُلُواْ مِن طَيِّبَٰتِ مَا رَزَقۡنَٰكُمۡ وَٱشۡكُرُواْ لِلَّهِ إِن كُنتُمۡ إِيَّاهُ تَعۡبُدُونَ
*Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah Al-An'am: Ayah 145

قُل لَّآ أَجِدُ فِي مَآ أُوحِيَ إِلَيَّ مُحَرَّمًا عَلَىٰ طَاعِمٖ يَطۡعَمُهُۥٓ إِلَّآ أَن يَكُونَ مَيۡتَةً أَوۡ دَمٗا مَّسۡفُوحًا أَوۡ لَحۡمَ خِنزِيرٖ فَإِنَّهُۥ رِجۡسٌ أَوۡ فِسۡقًا أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۚ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ رَبَّكَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho harimishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hiyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah A-Nahli: Ayah 115

إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيۡكُمُ ٱلۡمَيۡتَةَ وَٱلدَّمَ وَلَحۡمَ ٱلۡخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۖ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Amekuharimishieni nyamafu tu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa kwa ajili isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu. Lakini anaye lazimishwa bila ya kuasi, wala kuruka mipaka, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Haya

Harufu kama ya mtu, sijasema harufu kama ya nyama ya mtu. Unajua kusoma?
Mbona machinjioni mifugo inachinjwa na mashine hamlalamiki
 
Kuwabagua wanafunzi wengine wamevaa vilemba na shule kuwa na misikiti wakati serikali haina dini, unadhani haitukeri. Yaani muslims Muna shida sana.
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Hahaaaa, nakumbuka mhadhara mmoja Morogoro jamaa walikuwa wanaponda kitimoto. Akasimama Mkristo mmoja akiwa amelewa na akawauliza? Mbona mnalalamikia kula Nguruwe wakati mnakula kuku na Bata wanao....... rana. Kwani umeshaona Jike la Bata au kuku lina njia ngapi? Umeshawahi ona Nguruwe dume anakosea njia? Jamaa wakamfukuza kwa hasira.
 
Back
Top Bottom