Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto ni nyama tamu Sana hazijawahi tokea tunawakaribisha wote ambao hawajawahi kuonja waonje kupata utamu wake karibuni sana
 
Nadhani maandishi yanayosomeka WAKRISTO BUTCHER ndiyo tatizo. Wanafiki nyie, mbona dada zetu wanakula kitimoto na mnawala denda, au mbususu ya mla kitimoto ni halali kwenu ?!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mbona kwenye benki ya taifa kuna aina ya akaunti ya kiislamu? Kwanini wasione tatizo hapo?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwenye vita kama hii unatakiwa ukae kimya, ila nakumbuka wakati tunasoma tulikuwa tunakula na akina yahaya na Husna, na wanapiga fresh tu bila tatizo, mbeya huko vitimoto vinakofugwa
 
Weka hiyo Aya inayo kataza kula nguruwe watu waione.
Mmekatazwa kula mkiwa mmeshiba tu basi. Au niiweke ?


Surah Al-Baqarat: Ayah 173

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ كُلُواْ مِن طَيِّبَٰتِ مَا رَزَقۡنَٰكُمۡ وَٱشۡكُرُواْ لِلَّهِ إِن كُنتُمۡ إِيَّاهُ تَعۡبُدُونَ
*Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah Al-An'am: Ayah 145

قُل لَّآ أَجِدُ فِي مَآ أُوحِيَ إِلَيَّ مُحَرَّمًا عَلَىٰ طَاعِمٖ يَطۡعَمُهُۥٓ إِلَّآ أَن يَكُونَ مَيۡتَةً أَوۡ دَمٗا مَّسۡفُوحًا أَوۡ لَحۡمَ خِنزِيرٖ فَإِنَّهُۥ رِجۡسٌ أَوۡ فِسۡقًا أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۚ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ رَبَّكَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho harimishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hiyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah A-Nahli: Ayah 115

إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيۡكُمُ ٱلۡمَيۡتَةَ وَٱلدَّمَ وَلَحۡمَ ٱلۡخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۖ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Amekuharimishieni nyamafu tu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa kwa ajili isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu. Lakini anaye lazimishwa bila ya kuasi, wala kuruka mipaka, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Haya nioneshe wapi Nguruwe kakatazwa kuliwa na Waislamu.
Kumbe wameambiwa wale..!! Tunatofautiana mazingira ya kula tu..!! Mimi nakula nikiimisi na wao wanatakiwa wale wakiwa kwenye mazingira waliyotajiwa. MAKAFIR WENZETU TU KUMBE..!!
 
Back
Top Bottom