jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Uzuri sisi tunaweza kuongea..ila wao hawawezi kuongea bali wanabaki wangugumia moyoni..wanatamani kusema ila wakisema watakosa teuzi.Kwamaana hiyo kubanana mumu Kwa mumu[emoji1732]
Kitimoto imepanda sbb ya Vita ya Ukraine v Russia, mbona hamuelewi.Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Jafeee njoo umsikie huyu Jumaaaa🤣🤣🤣Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Itashuka sababu ilikuwa mwezi wa ramadhaniWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
🙄🙄😳😳Watakwambia mafuta yamepanda bei
Mbona hii nusu? Wapi hapo, kule chukwani ni 18.Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Kwamba mzigo una mafuta take yenyewe-dah nimecheka sana.Huu ni uonevu na ulafi wa wauzaji tu. Kwanza kitimoto ana mafuta yake mwenyewe.
Hawawezi hata kusingizia kupanda kwa mafuta kunaathiri biashara yao.
Sumbawanga sehemu gan kiongozileo nmekula uku sumbawanga kilo n 5000 nkaagiza kilo na nusu na ndz mbil hata elf 10 haijafka na wanatengeneza standard sana Nataman nsirud dar[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwelii😂😂😂😂 sijawahi kuiona hii I'd yake😬😬😬 Kitimoto ni mtu poa sana. Ila ukimuudhi tu, anatembeza dislike 😡 uzi mzima! Hata kwa wasio husika wote anawatwanga dislike.
Huyo ndiye Kitimoto.
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Lita tano sh. ngapi!?Biashara kuanzia jana imeanza kurudi kwenye hali yake kwa kuwa nzuri.
Kipindi cha kama siku 30 hi8 biashara ilikuwa mbovu sana sababu wateja walio wengi walihadimika kabda sijui ni kwasababu ya. ...
Gharama za kumsafirisha zimepanda sana tena mara 1.5 mpaka mara 2 ya gharama iliyokuwepo.
Pia nauza mafuta yake bei rahisi sana na ni mazuri sana. Karibuni sana mpunguze gharama za mafuta.
Cc. FaizaFoxy, Juma1967
View attachment 2211665
Binadamu tumeumbiwa kupenda uchafu zaidi ya usafi.Mnakula uchafu tu yaani kula nguruwe Ni noma