Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho BEI JUU!

Biashara kuanzia jana imeanza kurudi kwenye hali yake kwa kuwa nzuri.

Kipindi cha kama siku 30 hi8 biashara ilikuwa mbovu sana sababu wateja walio wengi walihadimika kabda sijui ni kwasababu ya. ...

Gharama za kumsafirisha zimepanda sana tena mara 1.5 mpaka mara 2 ya gharama iliyokuwepo.

Pia nauza mafuta yake bei rahisi sana na ni mazuri sana. Karibuni sana mpunguze gharama za mafuta.

Cc. FaizaFoxy, Juma1967

IMG-20220504-WA0017.jpg
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Kitimoto imepanda sbb ya Vita ya Ukraine v Russia, mbona hamuelewi.
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Mbona hii nusu? Wapi hapo, kule chukwani ni 18.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Biashara kuanzia jana imeanza kurudi kwenye hali yake kwa kuwa nzuri.

Kipindi cha kama siku 30 hi8 biashara ilikuwa mbovu sana sababu wateja walio wengi walihadimika kabda sijui ni kwasababu ya. ...

Gharama za kumsafirisha zimepanda sana tena mara 1.5 mpaka mara 2 ya gharama iliyokuwepo.

Pia nauza mafuta yake bei rahisi sana na ni mazuri sana. Karibuni sana mpunguze gharama za mafuta.

Cc. FaizaFoxy, Juma1967

View attachment 2211665
Lita tano sh. ngapi!?
 
Back
Top Bottom