Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Gharama Ni kiasi gani? Au mpunguziwe ushuru?Kitimoto inatakiwa iuzwe mara mbili ya nyama ya ng'ombe, ni basi tu wachinjaji waliwabania wafugaji. Gharama za kumfuga huyu mnyama ni kubwa sio km ng,ombe anayekula majani na virutubishi vidogo vya ziada. Kitimoto Kila siku anatakiwa apate mchanganyiko wa pumba, mashudu, pig buster, majani nk
Hapa Dar ni 12000 tu huyo mtoa mada ni muongoMoshi 10 tu unakula kitu safi
Mada ya Moto Sana hiiWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Hata kula kisamvu ni hatari Kwa binadamu wengine....jikite na kisicho na madharau kwako ... tusipangianeMkuu kula huyo mdudu Ni hatari sana
Gharama ni kubwa. Nguruwe mmoja mpk afikie kilo sitini lazima atumie zaidi ya laki mojaGharama Ni kiasi gani? Au mpunguziwe ushuru?
Kitimoto kimepanda bei kidogo kutokana na ndugu zetu katika Imani wamerudi sokoni ...mdudu Kawa adimu.Why?
Mh haiwezekani,21?? Au nje ya nchi?Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Mi niliko imepanda ,elf9 kilo!Kitimoto kitamu jamani. Japo Bei ndo maumivu
HahahaaaaKilema Leo nimeila kwa 7000 ikiwa na kichuri saaaaafi
Itakuwa pale bwalo la jeshi bububu21,000 mbona juu sana. Huko ni Makunduchi nini?
Fafanua kauli,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au tuite uchochez..Duh Mimi nafanya hiyo biashara .... inshort kitimoto ilipotea Sana sokoni....saivi kinarudi Kwa Kasi sijui kwanini
Kwa hiyo kipindi cha mfungo hauli kitimoto? Dunia hii ina mambo sanaWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443