Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Kitimoto inatakiwa iuzwe mara mbili ya nyama ya ng'ombe, ni basi tu wachinjaji waliwabania wafugaji. Gharama za kumfuga huyu mnyama ni kubwa sio km ng,ombe anayekula majani na virutubishi vidogo vya ziada. Kitimoto Kila siku anatakiwa apate mchanganyiko wa pumba, mashudu, pig buster, majani nk