Kitimoto nacho BEI JUU!

Leo nimekula kitimoto hapa MIBS Tavern Sinza Mori, wale jamaa wanajua kukaanga balaa. Kuna mbavu tu Zina utamu wa balaa zinawekewa na marination ya kitaalamu inayopatikana kwenye Mahoteli makubwa tu.

Kwa kitimoto MIBS wako juu.. sema Bei yake ndio ya kizungu kabisaa.. kilo 16,000/= nusu 8000/= lakini unaiona value for money.

Kachumbari ni Yale mafuta ya ngozi ndio wanatengenezea lazma ujilambe.
 
Hahaaaa......kumbe ulikuwa kwenye mfungo wa mwezi mtukufu[emoji1787][emoji1787]
 
Bwana Aboubakar mkavu!;
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.

Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Wapi huko,huku kwetu bado nusu 3000...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…