LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
Leo nimekula kitimoto hapa MIBS Tavern Sinza Mori, wale jamaa wanajua kukaanga balaa. Kuna mbavu tu Zina utamu wa balaa zinawekewa na marination ya kitaalamu inayopatikana kwenye Mahoteli makubwa tu.
Kwa kitimoto MIBS wako juu.. sema Bei yake ndio ya kizungu kabisaa.. kilo 16,000/= nusu 8000/= lakini unaiona value for money.
Kachumbari ni Yale mafuta ya ngozi ndio wanatengenezea lazma ujilambe.