Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho BEI JUU!

Hapa nilipo kilipanda kutoka 6000 hadi 7000-8000, nikadhani wametubana kumbe wenzetu mnanua mara mbili zaidi ya hiyo bei?
Kwanzia kesho naanza kukitafuna kwa kasi ili bei ikifika mbali niwe nimekula stock ya kutosha.
KITIMOTO? ata wauze 50,000 kwa kilo bado nitakula tu.
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Poleni San ,Sasa itakuwaje, ....wapi huko lakini?!
Sisi huku Dongobesh Putin hajatuathiri sana!
Changamoto tu ,Siku za hivi karibuni walaji walipungua , nyama ikawa inalala!
Ila kuanzia Jana ...mwendo mdundo!
 
Back
Top Bottom