Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣huyu mzee muhuni sijui atakuwa lini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣huyu mzee muhuni sijui atakuwa lini!
Kitimoto inatakiwa iuzwe mara mbili ya nyama ya ng'ombe, ni basi tu wachinjaji waliwabania wafugaji. Gharama za kumfuga huyu mnyama ni kubwa sio km ng,ombe anayekula majani na virutubishi vidogo vya ziada. Kitimoto Kila siku anatakiwa apate mchanganyiko wa pumba, mashudu, pig buster, majani nk
Rungwe-Mbeya, 8 tu, na motisha wa ndizi nne bure!Moshi 10 tu unakula kitu safi
Huko ndiko pa kuishi sasa.Rungwe-Mbeya, 8 tu, na motisha wa ndizi nne bure!
Duh nakuonea wivu ile mbayaWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Hiyo ten pana ndizi pia hivyo sio mbayaRungwe-Mbeya, 8 tu, na motisha wa ndizi nne bure!
Wachina wanakula kila kituKatika dira ya dunia leo kwenye bbc swahili hata ukienda youtube utaiona nimeona wachina wanagombaniana nyama ya kitimoto nimecheka sana mtu anakula virungu na police haachii nyama😂😂🤣🤣 nikatamani kangekatwa kaclip halafu kazagae instagram 😂😂😂🤣🤣
Mkuu wapi huko,Mimi nije niwauzie kwa bei ndogo??!!.Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Kivipi??, Mbona vitu vya hatari ni vingi.Mkuu kula huyo mdudu Ni hatari sana
Marko 7:15-23, Mstari wa 19 naomba uusome kwa kurudia rudia.Mambo ya walawi 11:27
Mimi mwenyewe nashangaa hiyo bei ya 21,000/=, sijui ni wapi huko?.leo nmekula uku sumbawanga kilo n 5000 nkaagiza kilo na nusu na ndz mbil hata elf 10 haijafka na wanatengeneza standard sana Nataman nsirud dar[emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka kusema ndugu zetu waliokuwa kwenye mfungo Mtukufu ni wadau wazuri wa Mdudu??.Biashara kuanzia jana imeanza kurudi kwenye hali yake kwa kuwa nzuri.
Kipindi cha kama siku 30 hi8 biashara ilikuwa mbovu sana sababu wateja walio wengi walihadimika kabda sijui ni kwasababu ya. ...
Gharama za kumsafirisha zimepanda sana tena mara 1.5 mpaka mara 2 ya gharama iliyokuwepo.
Pia nauza mafuta yake bei rahisi sana na ni mazuri sana. Karibuni sana mpunguze gharama za mafuta.
Cc. FaizaFoxy, Juma1967
View attachment 2211665