Kitimoto nacho BEI JUU!

Kitimoto nacho BEI JUU!

Hii nyama inastahili heshima zaidi. Inastahili bodi au siku ya mapumziko maalumu
 
Watukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.

Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.

***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Ni kwasababu ya Vita ya Russia na Ukraine
 
Back
Top Bottom