Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Weee mbahili!Nimenunua Leo kitimoto robo 2000 ndiz 4 mia saba na Pepsi 600.Mbeya nayo bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee mbahili!Nimenunua Leo kitimoto robo 2000 ndiz 4 mia saba na Pepsi 600.Mbeya nayo bhana
Ndo uwezo wanguWeee mbahili!
Nimenunua Leo kitimoto robo 2000 ndiz 4 mia saba na Pepsi 600.Mbeya nayo bhana
aiseeeNimenunua Leo kitimoto robo 2000 ndiz 4 mia saba na Pepsi 600.Mbeya nayo bhana
Yes mkuuaiseee
hivi kuna watu mnaishi jiji tofauti na Dar es salaam?
Hapo Moshi ndio napashangaa, gharama ya ufugaji kubwa alafu bei ya uuzaji mnyama ndogo.7000 kilo Moshi
Wana toka huko kibosho sijui wana kula machicha ya mbege. Ila ndio bei yake, huku siku hizi wana kula hadi utumbo.Hapo Moshi ndio napashangaa, gharama ya ufugaji kubwa alafu bei ya uuzaji mnyama ndogo.
Mtura wanasemaWana toka huko kibosho sijui wana kula machicha ya mbege. Ila ndio bei yake, huku siku hizi wana kula hadi utumbo.
Hata wakisema ni sumuuu siachi kulaa..Kitimoto kisipigwe marufuku
duh uku mbeya buku6 tu unakula kg nzimaWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
Acha uongo n Mbeya sehemu ganiduh uku mbeya buku6 tu unakula kg nzima
Kipo tele!Mdudu kawa adimu
Huku Liparamba 7000/kgWatukufu ndugu zangu. Inakuaje Kitimoto kipande bei ghafla hivi? Yaani nilikipania mwezi mzima sijala.
Kutoka 14,000/kg TZS mpaka 21,000/kg. Imebd nilipe tu Sina namna. Ila namna hii sio fair.
***Nakula huku Nina hofu sana
View attachment 2211443
IyungaAcha uongo n Mbeya sehemu gani
Bora hatari ya kula kuliko hatari ya kutokula!💪😄Mkuu kula huyo mdudu Ni hatari sana