Kitimoto viunga vya Mromboo

Kitimoto viunga vya Mromboo

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo.

Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma.

Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa hili gonjwa la gout nikaamua bora nitafune mbuzikatoliki.

Nikakatiza mitaa miwili mitatu nikakumbana na kijiwe safi kabisa.Nikaagiza pande zuuuri na ndizi na kachumbari ya ukweli.

Wakati nasubiri kaingia kijana wa makamo labda miaka 23 hadi 27 kavalia barakashia na kanzu kaikunja.Bila kupoteza muda kaagiza pande lake la uhakika.

Sote tumekaa tunasubiri mdudu baada ya dk 15 to 20 kila mmoja akawa anapambana na utamu wa mdudu wa taifa.

Ghafla wanaingia vijana kama wanne hivi wote wamepiga barakashia,kanzu na suruali fupi.Wote wakamvamia yule kijana aliyevalia barakashia na kuanza kumtandika bakora na kumchoma visu sehemu za mgongoni.Kipigo kiliendela kwa muda wa dk 10 to 15 huku wakitoa maneno makali Muislam gani unakula mdudu wa taifa tena umevaa kanzu na barakashia.

Niko pembeni nimetulia ladha ya mdudu siisikii tena maji yamekorogeka baada ya kumaliza kazi yao wakaondoka bila kumdhuru mtu yoyote.

Leo nimepita tena nikawauliza wahusika vipi ustadhi hali yake wakaniambia kalazwa Muriet hospital bado anapelekewa mdudu na taarifa zinadai akitoka atakuwa Mgalatia safi.

Ngongo kwasasa Kwa Mrombo.
 
Huyu jamaa atakuwa mwanaume wa Dar! yaani mshirika wako ktk kula mdudu anaonewa hadi kuchomwa visu wewe upo unatoa macho tu?
 
Atakuwa ni mhudhuriaji mzuri wa hilo eneo la Mbuzi Mkatoliki..hadi jamaa wakaweza kuja kumshambulia
 
Kuvaa kanzu na Baragashia ni nini hata Mrema, Makonda ,Kabudi,Mbowe wanavaa.
Acha Bangi
 
Marafiki zangu wengi waislam aisee wanagonga kitimdudu kama hawana akili nzuri.
Kwa wiki mara mbili
Nikidochi wanakuja twende
 
Juz nght nakula mkuu wa meza gafla anaingia jamaa ananiulza kumbe ww sio mwsalam tena kwa jicho kal nkamwangalia nkamwambia apana nkanywa na safar yangu, hii skatoka anatukana et skuzote najua ww n nduvu yangu katika iman kumbe khafil shetan kabsa
 
Weekend niliamua kutembelea viungo vya mitaa ya Mromboo.

Unapoitaja viungo vya mitaa ya Mromboo moja kwa moja akili inakimbilia ulaji wa Mbuzi choma.

Kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu hasa hili gonjwa la gout nikaamua bora nitafune mbuzikatoliki.

Nikakatiza mitaa miwili mitatu nikakumbana na kijiwe safi kabisa.Nikaagiza pande zuuuri na ndizi na kachumbari ya ukweli.

Wakati nasubiri kaingia kijana wa makamo labda miaka 23 hadi 27 kavalia barakashia na kanzu kaikunja.Bila kupoteza muda kaagiza pande lake la uhakika.

Sote tumekaa tunasubiri mdudu baada ya dk 15 to 20 kila mmoja akawa anapambana na utamu wa mdudu wa taifa.

Ghafla wanaingia vijana kama wanne hivi wote wamepiga barakashia,kanzu na suruali fupi.Wote wakamvamia yule kijana aliyevalia barakashia na kuanza kumtandika bakora na kumchoma visu sehemu za mgongoni.Kipigo kiliendela kwa muda wa dk 10 to 15 huku wakitoa maneno makali Muislam gani unakula mdudu wa taifa tena umevaa kanzu na barakashia.

Niko pembeni nimetulia ladha ya mdudu siisikii tena maji yamekorogeka baada ya kumaliza kazi yao wakaondoka bila kumdhuru mtu yoyote.

Leo nimepita tena nikawauliza wahusika vipi ustadhi hali yake wakaniambia kalazwa Muriet hospital bado anapelekewa mdudu na taarifa zinadai akitoka atakuwa Mgalatia safi.

Ngongo kwasasa Kwa Mrombo.
Chai ya Kilimanjaro hii
 
Ungemsaidia kupiga hao mbuzi wanao ingilia uhuru wa wenzao.
 
Wewe ni mkazi wa arusha au ni mgeni kutoka mikoa ya pwani?
 
Huyu jamaa atakuwa mwanaume wa Dar! yaani mshirika wako ktk kula mdudu anaonewa hadi kuchomwa visu wewe upo unatoa macho tu?
Sasa mimi naingia vipi hapo watu wanatetea imani zao kwa bakora hayanihusu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom