Kitoe kibanzi ndani ya jicho lako kwanza ndipo umwambie mwenzio

Kitoe kibanzi ndani ya jicho lako kwanza ndipo umwambie mwenzio

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Huyu jamaa huwa nilianza kumtilia mashaka na uwezo wake juu ya uandishi wa vitabu vyake, hasa pale baada ya kushindwa kuchochechea mijadala ya uchaguzi ndani ya CHADEMA, yeye

Kama ni miongoni mwa mwandishi wa vitabu Afrika na kuchukua tunzo mara mbili.

Alishindwa kutumia kalamu vizuri badala yake akaonesha uchawa wake.ukishakuwa mwandishi wewe ni mwalimu wa jamii mzima.

Ulishindwa kuonesha mazuri ya Mbowe na mabaya yake , lakini pia uzuri wa Lisu na mabaya yake , hata kama upo upande wa Mbowe, I'li wajumbe wachague wao kwa kuangalia nani ni bora lakini wewe ukamua kuwa chawa wa Mbowe .

Kumbe hata hivyo vitabu huwa unaiba "plagiarism" kwenye nchi zinafuata maadili ya ya uwandishi, wewe Yeriko inatakiwa upokonywe na hizo tunzo zako za michongo kama kweli hizo tuhuma ni za kweli.

Lakini inawezekana ni za kweli maana toka wakutuhumu huja kanusha mpaka leo. Badala yake umeingia mitini habari za kumnanga tena Lisu hazipo tena.

Umepoteza credibility Yako katika jamii kwa sasa uliyoijenga zaidi ya 10 ndani ya wiki moja kwa sababu ya kuwa chawa, tamaa, na EGOISM. NB vijana tujifunze kusimamia ukweli na ukweli utatuweka huru milele .

Mungu ibariki Tanzania , by Mwinjilist wenu Gabeji.
 
Back
Top Bottom