LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #121
Kwa sababu ni mdogo Asilimia kubwa wanakuwaga na nyota kwa sababu wanakuwa hawajachafuliwa sana. Wewe hapo unaweza kuwa na ma ex 20 na kila mtu amekuachia kivuli chake kwako na kila kivuli kinakuwa kimebeba some negative energy so I cannot risk my vibration
Ahaaa mbona dogo ulimpa kabla hujamuonja?naomba jama