Kitovu cha mtoto kuangukia sehemu mbaya limekaaje kisayansi

Kitovu cha mtoto kuangukia sehemu mbaya limekaaje kisayansi

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
267
Reaction score
394
Kumekuwa na imani kuwa kitovu cha mtoto kikiangukia mahala fulani mtoto huyo anakuwa hanithi na hata hivi karibuni Haji Manara amepost video ya Boban akimtuhumu Jerry Muro kuwa huenda wakati anazaliwa kitovu chake kiliangukia sehemu mbaya sasa kisayansi limekaaje
 
Back
Top Bottom