Kitu cha ajabu ulichokuta kwa rafiki/jamaa!

Kuna mwana mwingine nimekuta ana chumba mbili ndani ya master, nyingine amehifadhi jeneza jipya na suti mpya, nikamuuliza what's the meaning of this, akajibu anaandaa makao yake na hataki kuwapa ndugu na jamaa usumbufu wa gharama akiondoka duniani
Sio kweli
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hii mbona kama chai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwamba nilimkuta ana mkungu wa ndizi......wahaya shikamore
 
La III B[emoji38][emoji38][emoji38]
 
kujua anavaliana kufuli na demu wake hii ilinipa maswali sana na anapenda mwenyewe
 
Kuna nafiki YANGU nilimkuta kafuga nyani jike, na anaishi naye ndani kwakweli nilimshangaa sana,
 
Are you serious?Uliendeleza urafiki?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka af nikacheka tena

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nmecheka sana... ngoja nilale sasa daah!!!
 
nilienda mara field nikasema nikamcheki mwanangu mmoja nimesoma nae o level.

kwenda gheto kwake anafuga kunguru
 
Miaka ya nyuma nilienda ungalimited mitaa ya cheka un'gatwe .geto nililofikia ni room moja ndani zinaishi familia tatu tofauti.kuna kitanda na magoro mawili.kwenye kitanda analala mwenyeji wangu na demu wake..

Godoro la Kwanza wanalala masela wawili na godoro la pili analala jamaa mwingine na demu wake..

Mazingira yaliniogopesha ikabidi nitoke mbio .toka hapo nikakoma kutembelea mazingira ya uswahilinj
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
Sasa mwenye chupi atakua sijui anahisi kaweka chupi yake jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…