jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
[emoji28][emoji119]Mwanangu kanyunyu WA manzese
Analalia godoro tupu lenye mavono bila shuka na analala na viatu
Sufuria anayopikia ndo anatumia Kama kopo la kuogea
Ana vijiko vya mbao vitatu vile ambavyo upareni wanakulaga navyo makande nadhani wengi mnavifahamu vyake Vina almost miaka mpaka vimebadilika rangi
Mwana anaishi na kuku ndani hana banda
Mashada ya maua wanayotumia kuzikia wakirsto mwana baada ya mazishi anachukua yaani anaiba kupambia kwake
Mlango wa kuingia kwake umeandikwa juu la III B Nadhan aliuchomoa (aliiba) shule
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app