jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
acha ulimbukeni kijana kuna wenzako walileta mbwembwe, wakadisco 1st year ata boom la mwaka wa pili hawajaliona.
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
bro we sio mjanja cha msingi mshukuru mungu kwa kupewa mkopo mimi ni mwenzako nimekosa
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
Sasa ndo ukaamua kutupia na picha ya kidemu chako juma.???
MUNGU akusamehe hujui unachokifanyaWamenitupia asilimia mia,thanx to god
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god