kitu cha bodi,hivi kuna waliokosa?

kitu cha bodi,hivi kuna waliokosa?

jimmymziray

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
816
Reaction score
515
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god
 

Attachments

  • IMG-20130730-WA001.jpg
    IMG-20130730-WA001.jpg
    36.9 KB · Views: 219
  • juma.jpg
    juma.jpg
    59.6 KB · Views: 219
Kuna waliokosa wengi tu,ila isiwe sababu ya wewe kujigamba mda wote huu. Hata mimi nlisoma kwa asilimia 100 ya mkopo na hela ya project kabisa sasa sikumbuki hata zilikuaje. We shukuru umepata basi tulia, acha mbwe mbwe
 
dharau hizo kijana,kuna watu wana hasira,nadhani wakiiona hii post utang'olewa kucha bila ganzi
 
Huo ni utoto, furahi kwa sasa ila kumbk utakuja kuzilipa huku umenuna.
 
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god

tena waulize wenye experience na chuo wanaokula loan huwa wanafulia chuoni kuliko wanaosoma private, mtu wa private anakua na tahadhari na kiasi kidogo anachopewa nyumbani,ila wa loan wanakua na matumizi makubwa matokeo yake mzigo hautoboi semester.
 
Wamenitupia asilimia mia,thanx to god

kwahiyo.. !! au hujui kuwa kuna watu wamekosa kabisa na hawana uwezo wa kifedha kwenda chuo.. na je unajua kuna watu wamejiua kisa kukosa mkopo.

Unaposhukuru tena mbele ya watu ukumbuka kutoa na pole kwa waliokosa na kuwatia moyo.
 
bro we sio mjanja cha msingi mshukuru mungu kwa kupewa mkopo mimi ni mwenzako nimekosa
 
Sasa ndo ukaamua kutupia na picha ya kidemu chako juma.???
 
Mbona jina la kiume hafu picha ya ustadhati?
 
acha wenge nenda kasome na wakati ukifika urejeshe mkopo ili na wenzio watakao bahatika kama wewe nao waweze kunufaika pia,.
 
Mbona mkopo ni pesa ndogo sana..sema kwa kuwa ce watanzania weng ni maskini ndo maana tunashoboka nazo...ila kijana alyesoma feza boys au gals huwezi kumkuta anashoboka eti kisa kapata mkopo!
 
Back
Top Bottom