Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?

Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?