Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
- Thread starter
- #21
Wacha weeee, unapumua vizuri kweli huko? Au kifua kimebana?😃😃CHADEMA ndio wamekesha
Wacha weeee, unapumua vizuri kweli huko? Au kifua kimebana?😃😃CHADEMA ndio wamekesha
Koh koh kohhh, mko na list already, unataka masaa ya nini? CCM ni korokocho tu ambalo liko organised, hamna kituuuuu.... ni upupuuuuUnaijua nusu saa wewe kaa kwa kutulia upepo uko ccm
Fursa hazijaGI mara kwa mara. Ikija shurti kuitumia vizuri! Ushanfahamu?Kinachofanywa na ccm ni kukusanya maokoto kutoka kwa wagombea wa nafasi za dola!
Kiukweli CCM hatuna "rorote" ila tuna jambo letu mwaka huu!Hamna rorote, mwaka huu kila kitu kinawaendea kombo, mmeonekana vile mlivyo dhaifu
Hakuna dira hii dira iliyoishia tu 2025 ndio kwanza shilingi yetu imekufa.tuendelee na MAIGIZO.Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?![]()
Limbwata noma sana.Kweli akili ni nywele!! yani we umekesha kisa ccm?
Nyumbu mtasubiri sana!Uko wanaparuana Mungu yupo kazini Kuna jambo litatokea mpaka watakili Mungu yupo
Hatari sana Kuna kujielewa na kuna kuielewa ccm ni vitu viwili tofautiNyumbu mtasubiri sana!
Kwakuwa hayana akili Wala busara acha yaingizwe kingi tu na chiba wao lissu.Hatari sana Kuna kujielewa na kuna kuielewa ccm ni vitu viwili tofauti
Ccm wanaitumia sana mbinu ya kujifanya Wana migogoro ili kuwaingiza king wajinga
Na manyumbu yanaingizwa sana King
Jumanne Kishimba mtoe hapo kwenye hiyo list of shame. Ana akili sana huyo pamoja na kwamba elimu yake iko chini. Tuseme hujawahi kumsikia akiongea?
Ukimweka Kishimba kando, hebu mtaje Mbunge wa CCM mwenye hoja zenye mashiko kumzidi Kishimba. Maana si ajabu hata hao ma-Dr na ma-Prof walioko huko mjengoni hawawezi kujenga hoja ukilinganisha na yeye.Hahaha hata huku mitaani watu wanaongeaga sana lakini tunapima uzito wa unachoongea.
Kishimba ni mchekeshaji, lakini anachoongea hakina uzito wowote kama walivyokuwa wengi hapo bungeni.
ndani ya mitaa ya Khost-Afghanistan.
Chama hakina pesa na wengine ni kipengele,kwahiyo tuchape kazi iloAlooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?![]()
Hiyo yote kutaka kuupa mwenge kiki tu, eti wanasema ule moshi ndo unawalewesha ati!!Limbwata noma sana.