Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Nani kakeaha?Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?
Uko sahihi kabisa!! Ccm wamechoka tuwapumuzishe tu!!Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?
CHADEMA ndio wamekeshaNani kakeaha?
Kinachofanywa na ccm ni kukusanya maokoto kutoka kwa wagombea wa nafasi za dola!Tuliza munkari kijana. CCM ndio khabari ya mujini na Kijijini!
Huo ni upepo wa FENI.Unaijua nusu saa wewe kaa kwa kutulia upepo uko ccm
Achana na wahuni hao wanabishanaAlooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?
Jumanne Kishimba mtoe hapo kwenye hiyo list of shame. Ana akili sana huyo pamoja na kwamba elimu yake iko chini. Tuseme hujawahi kumsikia akiongea?sidhani kama kuna la muhimu kutoka kwa hawa wafanya mizaha.
Duniani watu wanarusha masatelite, watu wanatengenza mabanker busters, B-2 bombers, huku kuna mamsukhoi,matu bombers, Dunia inapiga hatua Kila siku halafu huku una Mbunge kama Babu Tale, Msukuma, Kishimba, Ummy, Makamba nk, Jokers Kila mahala.
ndani ya Khost - Afghanistan.
Waandishi wa habari wamekesha ukumbini wakisubiri MAKALA aendelee na kikao hadi sasa bila bila. Kikao kimeahirishwa hadi saa 4 asbh ya leo.Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili!
Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?
Sasa mnekuwa hamna hayo majina kabisa inabidi wenyewe ndio mpendekeza na kutoa matatu si ndio ingekuwa kasheshe? Eeeh, na kwa kurahisishiwa kabisa mkajipa na nguvu ya kutanua goli, lakini wapi mmeshindwa kutoboa🤣🤣🤣
Kama mmeshindwa kutonesha uwezo wenu kwenye zoezi dogo hivi kwanini tuwaamini kuwapa nafasi kwenye mambo makubwa yanayohitaji utulivu na akili kubwa?
Au nakosea ndugu zangu tunaoinjoy kuangalia tamthilia hii?
Hamna rorote, mwaka huu kila kitu kinawaendea kombo, mmeonekana vile mlivyo dhaifuTuliza munkari kijana. CCM ndio khabari ya mujini na Kijijini!
Mambo ni moto, mpaka mama atakuwa anaweka ushungi pembeni apumue kidogo😂😂Uko wanaparuana Mungu yupo kazini Kuna jambo litatokea mpaka watakili Mungu yupo
Ndio nini hii Mkuu?🌚Nani kakeaha?