GE2025 Kitu cha nusu saa tu mmetufanya tukeshe na hamjatoboa, Dira ya miaka 25 wataweza kuitekeleza?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnachofanya ndio wanachotaka hao ccm ku create attention.
 
Hakuna dira hii dira iliyoishia tu 2025 ndio kwanza shilingi yetu imekufa.tuendelee na MAIGIZO.
 
Ccm ni mabingwa wa kuanzisha mijadala ili kuiteka mijadala inayoanzishwa na vyama vingine
 
Hatari sana Kuna kujielewa na kuna kuielewa ccm ni vitu viwili tofauti
Ccm wanaitumia sana mbinu ya kujifanya Wana migogoro ili kuwaingiza king wajinga
Na manyumbu yanaingizwa sana King
Kwakuwa hayana akili Wala busara acha yaingizwe kingi tu na chiba wao lissu.
 
Jumanne Kishimba mtoe hapo kwenye hiyo list of shame. Ana akili sana huyo pamoja na kwamba elimu yake iko chini. Tuseme hujawahi kumsikia akiongea?

Hahaha hata huku mitaani watu wanaongeaga sana lakini tunapima uzito wa unachoongea.

Kishimba ni mchekeshaji, lakini anachoongea hakina uzito wowote kama walivyokuwa wengi hapo bungeni.

ndani ya mitaa ya Khost-Afghanistan.
 
Huko kinachoendelea ni kuzidiana ndumba mamaee ...

Yani kuna majina ukiyafuta hayafutiki...
Ukilikata wewe sauti inapotea.

Huenda makala kawa Bubu...
 
Hahaha hata huku mitaani watu wanaongeaga sana lakini tunapima uzito wa unachoongea.

Kishimba ni mchekeshaji, lakini anachoongea hakina uzito wowote kama walivyokuwa wengi hapo bungeni.

ndani ya mitaa ya Khost-Afghanistan.
Ukimweka Kishimba kando, hebu mtaje Mbunge wa CCM mwenye hoja zenye mashiko kumzidi Kishimba. Maana si ajabu hata hao ma-Dr na ma-Prof walioko huko mjengoni hawawezi kujenga hoja ukilinganisha na yeye.
 
Chama hakina pesa na wengine ni kipengele,kwahiyo tuchape kazi ilo
Ilomradi ccm wasije na kikombe cha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…