Kitu gani alitumia Hayati Magufuli kuzima maandamano ya UKUTA mwaka 2015 tena kwa tamko tu bila hata bunduki kulipuliwa?

Marekebisho: UKUTA iliitishwa akiwa na zaidi ya miezi tisa madarakani.
 
Lkn ndani ya mwezi mmoja ya utawala wa jpm? Kabla hata hajateua baraza la mawaziri,?. Kikwete aliua lkn chadema ndio ilipamba moto.
 
Lkn ndani ya mwezi mmoja ya utawala wa jpm? Kabla hata hajateua baraza la mawaziri,?. Kikwete aliua lkn chadema ndio ilipamba moto.
 
Mkuu acha uongo. Sisi wamachame tunawajua wati wote wa familia ya Mbowe na misiba yao
 
Jibu ni moja alifanikiwa kwajili ya katiba mbovu
 
Mbona alishindwa kumzuia Kangi Lugola na Thobia Andengenye kupiga dili na kusababisha hasara kwa jeshi la zimamoto?

Tuliambiwa angeanzisha mahakama ya ufisadi ila mafisadi awamu yake nani alifungwa zaidi ya wengine kutoguswa kabisa na wengine kuzawadiwa vyeo vingine kama ukuu wa mkoa ilhali ni wazi walitoka ofisi husika kwa matumizi mabaya ya ofisi?
 
Kama nani?,seth na lugemalila uliwakamata wewe?
 
Alitumia mamlaka yake ya kidikteta aliyokuwa nayo kupitia mapungufu makubwa yaliyopo katika katiba yetu.
Jpm amewahi kuua hata mwandamanaji mmoja?,kama aliweza kwa kutumia katiba mbovu,na kikwete alishindwa kwa katiba ipi?, na kikwete aliua waandamanaji,na sio mala moja,
 
Hayo matendo yote uliyoyataja hapo yanaratibiwa na vigogo wenye pesa zao hivyo aliwalenga wale vigogo na kuwapa onyo chini kwa chini kabla hajawaanika
 
Upako gani aliokuwa nao jiwe alikuwa anavunja sheria kutumia jeshi kuwatia hofu wananchi kuzuia maandamano kazi inatakiwa ifanywe na polisi na sio jeshi huu ujinga wameurithi baadhi ya wakuu wa mikoa kutumia jkt kuwaondoa machinga maeneo ya mjini
Na waliokuwa wanavamia bank mchana kweupe,na waliokuwa wanavamia vituo vya polisi nao waliogopa nn? Na waliokuwa wanachinja albino je?
 
Yule alikuwa muoga tu. Hata maandamano ya mange yalimuogooesha sana yaani raisi mzima aogope maandamano ya mitandao hadi kuingia uwanjani kwenye cku ya muungano pale dodoma akiwa amechutama kwenye gari
Muoga aliyezuia maandamano au muoga ni yule aliyezuiwa kuandamana na akaufyata kweli
 
Kama nani?,seth na lugemalila uliwakamata wewe?
Nitajie jela waliyopo Thobias Andengenye na Kangi Lugola hawa ndio tunataka tuone walifungwa wapi watu waliokuwapo serikali yake kwenye ofisi za umma sio hao watu baki aliowanyoosha kwa kutofautiana nao hasa kutokana na mahusiano yao na mtangulizi wake.

Usinitajie watu waliowekwa kizuizini kwa tofauti zao na dikteta.

Kwanza pesa walizolipa watu wa kundi hilo kwa kesi za hila kwa kutofautiana na dikteta ziko wapi zile pesa za "Plea Bargain" maana hata CAG kaomba tume iundwe kuchunguza pesa zilipo baada ya msaidizi wa dikteta kipindi hicho kupasua jipu kuwa watu walizificha fedha hizi uchina.
 

Ajali gani zilikoma?. City boy na meli ya ukerewe iliyoua watu 220 zilikuwa kipindi gani?. Watu Mia walioungua Moto morogoro?. Punguza uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…