Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
nimecheka kwa nguvu hadi mzee kanitoa nje
 
ha ha ha ha ha
 
Kila nikikumbuka ule uzi wa nyoka hususani black mamba (koboko),huwa nasisimka sana,nawasha taa kuhakikisha hajajipenyeza chini ya mlango!
 
Pole mkuu,ila kwa body yako hukosi hata tempo ya ubaunsa club
Ili nipate uhalali wa kukaa mlangoni club natakiwa niingie chimbo si chini ya miezi 3 huku nikila na kunywa ipasavyo, halafu mshahara kwa siku ni 10k au 20k kwa mwezi ni kuanzia 150k mpaka 250k.

Hoja yangu ni kwamba nitatumia pesa nyingi kujiandaa (ambayo sina) ili kwenda kuikimbiza pesa ya kawaida.
 
Ila utajilipa na watoto wakali pia mkuu(jokes)!
 
Hahahaha mkuu inaonekana ukiwekwa pale Njenje au Next Door ukaambiwa mshahara wako ni kuondoka na umtakaye utakubali[emoji6]
Ha ha ha,haya mambo hata mwenyekiti yamemshinda,sitabaki salama hata mm.njenje wanapigia Kilimanjaro hotel?
 
Sasa mzigo kama wa Mwenyekiti ndiyo imejazana Njenje huku inatumia mtandao pendwa.
Ndiyo wanapigia hapo.
 
Nikikumbuka nilivyokuwa naota naokota mijihela mingi ndotoni, halafu asubuhi naamka patupu...Duuh nasisimka mno!!
 
Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
hahahah kweli kabsaa MUNGU wako yupo duniani mkuu hata siyo mbinguni
 
Nikikumbuka Juzi tarehe 5 June nasisimka na kulia kabisa..
Maana nimetoka kazini naingia getoni nakuta wamenikomba Laptop mpya na simu ya Samsung S4.. aisee Mungu anawaona walio iba maana wamenirudisha kutoka Dar hadi kolomije kwa miguu
 
Ouch pole sana!
 
Back
Top Bottom