Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inawezekana, maana siku zingine huwa najiuliza....je, kama yule nyoka angenigonga makalioni ama mgongoni? Kibaya Zaidi, je kama angelikamata dushe kuzania kuwa ni panya au mjusi, ingekuwaje? Nyoka si chatu ila alikuwa mkubwa balaa, na nafikiri alikimbia baada ya kusikia lile bomu la ushuzi alifikiri anataka kukamatwa kumbe kijana nilikuwa najisaidia tu kuondoa gesi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku tunamuaga baba angu(r.i.p dadii i mic yew so much momy mic yew too) nilikua mdogo sana nilimulza mama kuwa tutapata baba mwingine alilia sanaa nikikumbua mwili unaccmkuka full majonzi
 
Nkikumbuka nlivoponea chupucupu kugongwa na gar

Aiseee stak kukumbuka
Af hyo sehem hua naipita
Daily
Mungu mkubwa kwa kweli

Hii ingine n ya 2
Nlivodisko standard 7
Dhaaa!! Roho inaniumaga

Kinyama ila namshukuru
Mungu mambo n mazur
maisha mazur c mpaka kusoma n
Juhud zako tu
 
Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseee kweli mungu mkubwa
Mkuu
 
Nikikumbuka Juzi tarehe 5 June nasisimka na kulia kabisa..
Maana nimetoka kazini naingia getoni nakuta wamenikomba Laptop mpya na simu ya Samsung S4.. aisee Mungu anawaona walio iba maana wamenirudisha kutoka Dar hadi kolomije kwa miguu
Dhuuuu!! Pole mkuu hao. Walivunja
Mlango aiseee
 
Siku tunamuaga baba angu(r.i.p dadii i mic yew so much momy mic yew too) nilikua mdogo sana nilimulza mama kuwa tutapata baba mwingine alilia sanaa nikikumbua mwili unaccmkuka full majonzi
pole sana Mkuu
 
Nkikumbuka nlivoponea chupucupu kugongwa na gar

Aiseee stak kukumbuka
Af hyo sehem hua naipita
Daily
Mungu mkubwa kwa kweli

Hii ingine n ya 2
Nlivodisko standard 7
Dhaaa!! Roho inaniumaga

Kinyama ila namshukuru
Mungu mambo n mazur
maisha mazur c mpaka kusoma n
Juhud zako tu
polee sana
 
kukumbuka huko sio kuzur kabisa unaweza kucheka au kutoa chozi mbele ya kadamnasi badae utaonekana kama chiz..
 
Nikikumbuka nilivyoangukaga juu ya mperaaa nikaumia kwenye paja alafu mama badala ya kuja kuniangalia km nimeumia ana nichapaa asee nikikumbuka daaaa
Aah Mbona Kama Tumeshare Same Story Mimi Niliumia Mgongoni kakini
 
Back
Top Bottom