Golden Age
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 203
- 45
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.