Nsumbanzunya
Senior Member
- Jun 13, 2014
- 177
- 42
Mi kwa upande wangu sikupenda kuvaa viatu kabisa na nilikuwa na rafiki yangu ye ilikuwa ni kupigana yaani ikipita wiki bila kupigana tutajiuliza kunani.vipi wewe hebu tupia .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara yangu ya kwanza kupiga nyeto........dah!!nilidondoka toka juu ya mwembe!!puuuuuuuuu..
ha ha haMara yangu ya kwanza kupiga nyeto........dah!!nilidondoka toka juu ya mwembe!!puuuuuuuuu..
ha ha ha
aisee huu ni ukubwa huu aisee sio utoto
me wakati mdogo nilikua nachelewa kutoka shule coz nilikua tukiruhusiwa tu kurudi home natafuta viboko naanza kuchapa majani na miti njiani huku naisemesha km wanafunzi...kufika home late
nilikunya class