Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mimi niliona mfanyakazi mwenzangu analipwa $300 (750,000) kumtumia mwanaume soksi chafu alizokua amezivaa. Huyo mbaba alikua anapenda jasho la soksi za wanawake. Baada ya miezi kadhaa huyo dada aliacha kazi ili full time awe anauza nguo zenye jasho na ambazo ameshazivaa sharti la wanunuzi ni lazima ziwe chafu / zimevaliwa. Mara ya mwisho nimeongea naye anatengeneza $4000 (10,000,000) kwa mwezi.
Haya wenzangu, vitu gani vya ajabu mlishawahi kujionea?
Haya wenzangu, vitu gani vya ajabu mlishawahi kujionea?