Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Unawaonea wivu?Wadangaji.
Ni kazi ya ajabu sana na ya hovyo.Unawaonea wivu?
Wewe lazima kuna jambo zito ushajionea, tuambie basi!Ukunguni
Yani, tembea ujionee, wala siyo maghorofa 🙂Duuuh! Hiyo kali 🙄🙌
🤠🤠🤠kwa kweliYani, tembea ujionee, wala siyo maghorofa 🙂
Inahitaji ujasiri sana 🤦♀️Wanaomeza madawa ya kulevya kama njia ya kusafirisha mzigo🙌
Sana aiseeInahitaji ujasiri sana 🤦♀️
Mimi niliona mfanyakazi mwenzangu analipwa $300 (750,000) kumtumia mwanaume soksi chafu alizokua amezivaa. Huyo mbaba alikua anapenda jasho la soksi za wanawake. Baada ya miezi kadhaa huyo dada aliacha kazi ili full time awe anauza nguo zenye jasho na ambazo ameshazivaa sharti la wanunuzi ni lazima ziwe chafu / zimevaliwa. Mara ya mwisho nimeongea naye anatengeneza $4000 (10,000,000) kwa mwezi.
Haya wenzangu, vitu gani vya ajabu mlishawahi kujionea?
View attachment 3253752
Sawa, iko hivi, kuna wanaume wana "fetish" za kupandishwa mizuka ya kingono na vitu ambavyo vinaweza kuonekana vya ajabu kama picha za miguu, vidole, maungo ya mwili, nguo za ndani zilizotumika na kadhalika. Muuzaji wa hiyo nguo anapiga picha au video kuonyesha wakati ameivaa halafu anaiuza na kumtumia mteja anayetaka kwa njia ya posta.tia nyama kidogo,,,, umeelezea juujuu sana