Kitu gani cha ajabu uliona mtu anafanya kujitengenezea fedha?

Kuna jamaa anauza panya na anafuga mende for sale, Panya mmoja anaenda mpaka Tsh25,000.

Wateja wake mara nyingi ni Science Labs hasa mashuleni kipindi cha mitihani.
Anapiga pesa maana ameshajitengenezea clients.
Amejiongeza na biashara ya kitofauti, inapendeza.
 
Kuna yule dada Iryn eti anafanya kazi za massage kwa kutumia mtandao maalum ambao kujiunga amelipa $10,000+ na wateja ni foreigners.
Hata sishangai, hawa watu wenye pesa wanapenda vitu vya ajabu na kuna wengine wanapenda kujaribu mambo mageni na pesa inawawezesha.
 
Chai
 
Dah,

Kumbe inawezekana ndiyo maana kuna girlfriend mmoja alikuwa anapenda sana kuzidaka undershirts zangu akinipa safi alizofua, lakini nikagundua anakaa nazo bila kuzifua ili apate harufu yangu nikiwa sipo naye.
 
Mbona hiyo kawaida kama unamtandoa na una watu ambao ni potential watu unaweza kuwacharge hela unayotaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…