Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

LGBT.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka maana mimi kulog in tu hapa nimetumia simu ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh basi we kiboko..
Mimi nakwazika na watu ambao ukitumia simu
Ingine baadae anatuma SMS au kupiga hata kama umeshamwambia hiyo namba sio yako
So kuepusha yote situmii kabisa simu ya mtu mwingine...
Niliona hii kero nikimpa mtu simu yangu atumie
Baada ya mda napigiwa tena au kutumiwa SMS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…