Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]

Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]

Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]

Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]
LGBT.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka maana mimi kulog in tu hapa nimetumia simu ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh basi we kiboko..
Mimi nakwazika na watu ambao ukitumia simu
Ingine baadae anatuma SMS au kupiga hata kama umeshamwambia hiyo namba sio yako
So kuepusha yote situmii kabisa simu ya mtu mwingine...
Niliona hii kero nikimpa mtu simu yangu atumie
Baada ya mda napigiwa tena au kutumiwa SMS
 
Back
Top Bottom