Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kumpenda mnafiki

Sijawahi kuwa mwanaccemu

Sijawahi kwenda Chato

Sijawahi kusafiri nje ya Arusha

Sijawahi kumuona mgonjwa wavCorona
 
1. Sijanywa pombe
2. Sijavuta sigara
3. Sijaenda club
4. Sina drving license bado at 30's yrs old now
5. Sijaenda beach
6. Sijawah kufaya birthday party wala kuiona as siku special
Itabidi tuangalie cha kufanya hapo brother 😀
 
1.kunywa pombe.
2.kwenda club.
3.kuvuta sigara na bangi au madawa yeyote yale.
 
Tangu uzaliwe hujaenda kabisa club,na pombe hujawai kuonja hata chupa moja?
Sijawahi kufanya kitu ambacho siyo cha kawaida. Naamini unaelewa kuwa kiubinadamu kwa wale tulio wengi, NI KAWAIDA kufanya kitu ambacho siyo cha kawaida
 
Nilijua tu huwez kupita kimya na ni lazima tu ungekatiza kona hii.
Ahahahahaha
Kwani hujaniona toka uzi umeanza nipo,
Acha kujishtukia brother kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom