Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ana utukutu wa kistaarabu sana,so,kwangu mimi namchukulia kama ni mpole tofauti na Zoë
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] daah anko kwahiyo mimi siyo mpole
 
Sijawahi kumpenda mnafiki

Sijawahi kuwa mwanaccemu

Sijawahi kwenda Chato

Sijawahi kusafiri nje ya Arusha

Sijawahi kumuona mgonjwa wavCorona
Kumbe kuenda Chato na kumuona mgonjwa wa Corona ni vitu vya kawaida
 
Sijawahi kuvaa saa mkono wa kushoto
Sijawahi kuvaa viatu vya kamba maishan (na nipo kazin mwaka wa 4 huu)
Sijawahi kununua boxer kwa sasa nnazo 15 (zote zawadi + care)
Sijawahi kumkopa hela binadamu (naomba Mungu alwys nibaki hivo)
Sijawahi kulala na nguo (na napenda saana kulala uchi)😆😆
 
Mbona Jina ni la Mtoto wa P-funk Majani?
Lol, hawa hapo chini ni baadhi ya watu maarufu "duniani" wenye majina Paula Paul

Hata kama ilikuwa ni lazima ni-copy jina la mtu kwanini unadhani nimem-copy huyo mtoto? Na sio hawa?

Usilemaze akili yako, jina lako wewe labda liwe la kimila tofauti na hapo utawapata zaidi ya watu 100k wenye jina linalofanana na lako.
 
Karibu linturu sumbawanga mbona mwenyewe utakuwa unavaa nguo wakati wa kulala bila shuruti
 
Sijakwambia umecopy jina ,nimesema jina lako linafanana na la mtoto wa P-funk Majani.....Hao wengine ndio kwanza nawajua leo baada ya kuweka info zao za GUGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…