Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Nyama ya kuku ndio unbeaten kwangu mpaka sasa
"Unbeaten" ina maana umelinganisha hizo nyama mbili,maana yake ulishawahi kula kitimoto pia,ukagundua kuku iko juu,kama hukuwahi kula basi kauli ibaki tu hujawahi kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…