Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kulala na mwanamke tangu nikiwa na miaka 5
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh!
Wakati na scroll ikatokea wimbo unaimba nikasikia unatajwa. Jo jo joanna
Screenshot_20200604-115636_Spotify.jpeg
 
1. Sijawahi kuogelea au kusafiri kwenye maji mengi.... The fear I have for water is something I can't explain [emoji16][emoji16]

2. Club sijawahi kwenda hata kwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom