Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh nina mashaka na huu uamuziNina mpango wa kuyaacha kabla ya huu mwaka kuisha [emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakupandisha tu siku mojaNdiyo maana nilisema siji kupanda chombo Cha maji maisha yangu yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh nina mashaka na huu uamuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila usibadilike bwana unataka wengine tukachekee wapi etiAmini mwakani nitakuwa mpyaaa[emoji5][emoji38]
Tobaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Never say never, mbona kuna mtu aliniambia umepata mchumba huko zenji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakupandisha tu siku moja
Yaani siwezi [emoji23][emoji23][emoji23]Ujage ujaribu siku moja. [emoji28]
[emoji23] daah kumbe tupo wengiSijawahi kwenda shule kwa wakati.
Yaani shule ifungue Leo halafu Mimi niende Leo hiyohiyo.
Sijawahi.. Kuna namna tu lazima nivute.
Wengine wanakaa kabisa [emoji28]Mimi huyu?
Walahi siwezi elea kwenye maji.
Halafu kuna ule mtindo Watu wapo gorofani wanasimama kwenye machuma ya pembeni wanachungulia chini,au wakaegemea kwenye Yale machuma..
Yaani katika vitu siji kufanya ni Hiki..bora nikaogelee
Ngoja nicheke tu😂😂😂Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.
Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. 😅😅
Ndiyo
Mimi kuna namna tu inatokea lazima niongeze siku mbili tatu mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah kumbe tupo wengi
[emoji23][emoji23] Basi ingekua safi tungejua huenda Kuna vi-element vngine tunafananaMimi kuna namna tu inatokea lazima niongeze siku mbili tatu mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Secondary ilikuwa ukichelewa unaenda kupata adhabu lakini Mimi sijawahi kuwahi hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi ingekua safi tungejua huenda Kuna vi-element vngine tunafanana
Ni pm
[emoji3][emoji3] you have guts Saint AnneSecondary ilikuwa ukichelewa unaenda kupata adhabu lakini Mimi sijawahi kuwahi hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupm nikiifungua mkuu.[emoji3][emoji3] you have guts Saint Anne
Kuna watu walikua na wenge Sana enzi za secondary schools one week before tayali wapo skuli
Pm me