Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Unawezaje?
Inabidi uwajue walio negative, ni wengi mno huhitaji hata certificate kuwajua! Ukishawajua, wewe sasa unakuwa unafanya kinyume nao, lakini kwa yale ya kwao yaliyo negative tu! Mtu akiiponda Kenya, wewe unaanza kutafuta sifa za Kenya halafu unaisifia, akiiponda SGR unafanya hivyo vile vile. Hata hivyo inabidi kiwe ni kitu kinachotoka rohoni mwako kabisa, na si maigizo! Maana wakati mwingine unaweza ukajikuta unaigiza kuwa positive halafu kumbe uko negative, ambayo sasa ni worst case scenerio kuzidi hata ya yule ambaye yuko negative. Ukiwakubali watu kwa STRENGTHS zao bila kujali ni marafiki au maadui, you are likely to be one of the strongest positive persons in the world. Usimponde mtu aliyefanya jambo jema na zuri, kisa tu ni adui yako. Adui akifanya jema msifie, na rafiki akifanya baya, muonyeshe kuwa hujaridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…