Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Majogoo fulani hivi marefu membamba. Yana mironjo hayo.
Ahahaha we jamaa kuchi mbona wako powa, hili neno mironjo nimecheka sana maana nimekumbuka mbali
 
Sijawahi kuvaa wigi...kukodi tax..kunywa pombe..kuweka kucha za bandia..sijawahi kula Burger..sijawahi kula Sausage..sijawahi kupanda ndege na sijawahi kwenda dar...
Aisee,hongera,umewezaje yote haya?Hasa hili za kutokwenda Dar?maana kuna mahitaji fulani yanakulazim kwenda huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…