Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kwenda cinema,Kumwabudu Boss,Kumpiga makofi mwanamke(Mke/Mpenzi),Kutongoza Mke wa mtu,na kubwa kuliko sijawahi kuonea wivu maisha ya watu walionizidi elimu,mali n.k

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Actually ni sijui kuendesha baiskeli, ila zile spinning bike za Gym aah safii tu
 
Kuabudu huja kwa kujikabidhi. Unapoikabidhi nafsi yako ndipo unapopaabudu. Dalili mojawapo ya kumwabudu Boss ni kufanya kila anachokuagiza hata kama kinafisha utu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa na ukifikia hio level ujue unatumika,maana huwezi kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…