Nilishawahi kuacha na sio mara moja labda ni kwa sababu sijawahi kupenda, huwa napendwa tu
Sijawahi hata kutamani,Kama naogopa vileUnatamani kuonja au hujawahi hata kutamani?
Kupiga kura?Kupiga kura.
NitakupelekaAisee[emoji848][emoji848][emoji848] mi labda kunywa pombe na kwenda club ndo sijawahi
sasa kila mtu anasema ili ujue kuendesha baiskeli lazima uanguke na utu uzima huu aiseHuna mpango wa kujifunza?
Nitakupeleka
KUMBE TUPO WENGIMimi pia
Vitu vingi hapo ili uvitumie labda uwe sekta husikaSijawahi endesha ambulance, defender ya polisi, gari ya zimamoto, kifaru, ndege, boat na meli.
Sijawahi tumia assault rifle, semi automatic machine gun, AK 47, rocket launcher, gruneti na cruise missiles.
Sijawahi tumia chainsaw, randa, msasa, welding machine, grinder machine.
Sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa.