Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi hata kuingia chumba cha mahakama toka nizaliwe!
 
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.

Ila toka hapo sijawahi kupigana mana nikawa mwoga hadi kwa wanawake wenzangu kwa hofu nikipigana nao watanipiga. [emoji28][emoji28]
dada habari,naomba unitumie namba yako PM nina mazungumzo mazito na wewe.

itume haraka
 
Hilo ni vazi la heshima? Au unamaanisha nini kusema "vazi la heshima"?
Wanavaa wacheza vigodoro na singeli. Halina heshima yoyote.
Ndo maana sehemu zenye hadhi hauwezi ingia umevaa hizo.
 
Back
Top Bottom