Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kuvuta bangi,
Sijawahi kununua Dada poa,
Sijawahi kuogelea kwenye swimming pool,
Sijawahi kufanya masaji,
Sijawahi kufanya sherehe ya birthday/graduation,
Baharini au ziwani ulishaogelea
 
Weupe huu huu wa kina mwajuma , mimi napenda wasichana / wanawake weusi ndi ndi ndi...tena ngozi ing'are kama kiwi nyeusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kwenda Disco Club
Niliwahi kwenda mara kadhaa na washkaji ila niliishia kuzunguka tu humo ndani ,halafu nikirudi kulala nabaki na makelele masikioni ,kichwa kizito,nikaacha,labda uwe unalewa ndio utafurahi
 
Back
Top Bottom